The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 1 › Genesis 1:26

Genesis 1:26

Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale juu ya samaki wa baharini na ndege wa angani, juu ya mifugo, juu ya dunia yote, na juu ya viumbe wote watambaao juu ya nchi.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth.

In Context

25Mungu akafanya wanyama pori kulingana na aina zake, wanyama wa kufugwa kulingana na aina zake, na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi kulingana na aina zake. Mungu akaona kuwa hili ni jema.

27Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, 2 kwa mfano wa Mungu alimuumba; 2 mwanaume na mwanamke aliwaumba.

Read all of Genesis 1

Cross References

Genesis 3:22Kisha Bwana Mungu akasema, “Sasa mtu huyu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya. Sharti asiruhusiwe kunyoosha mkono wake na kuchuma pia kutoka mti wa uzima akala, naye akaishi milele.”

Genesis 9:2Wanyama wote wa duniani, ndege wote wa angani, kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi, na samaki wote wa baharini wamekabidhiwa mikononi mwenu, nao watawaogopa na kuwahofu.

Genesis 11:7Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”

Job 35:10Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, 2 yeye anifanyaye niimbe usiku, 1

Psalms 8:4mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, 2 binadamu ni nani hata unamjali? 1

Psalms 100:3Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu. 2 Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; 1 sisi tu watu wake, 2 kondoo wa malisho yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 1:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 1:25Genesis 1Genesis 1:27 →