The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 35 › Ayubu 35:10

Ayubu 35:10

Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, 2 yeye anifanyaye niimbe usiku, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But none saith, Where is God my maker, who giveth songs in the night;

In Context

9“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; 2 huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu. 1

11yeye atufundishaye sisi zaidi kuliko wanyama wa dunia, 2 na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’ 1

Read all of Ayubu 35

Cross References

1 Chronicles 10:13Sauli alikufa kwa sababu hakuwa mwaminifu kwa Bwana. Hakulishika neno la Bwana, hata akataka shauri kwa mwaguzi kwa ajili ya uongozi,

Job 27:10Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi? 2 Je, atamwita Mungu nyakati zote? 1

Job 36:3Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali, 2 nami nitamhesabia haki Muumba wangu. 1

Psalms 42:8Mchana Bwana huelekeza upendo wake, 2 usiku wimbo wake uko nami: 2 maombi kwa Mungu wa uzima wangu. 1

Psalms 119:62Usiku wa manane ninaamka kukushukuru 2 kwa sababu ya sheria zako za haki. 1

Ecclesiastes 12:1Mkumbuke Muumba wako 2 siku za ujana wako, 1 kabla hazijaja siku za taabu, 2 wala haijakaribia miaka utakaposema, 2 “Mimi sifurahii hiyo”: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 35:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 35:9Ayubu 35Ayubu 35:11 →