Genesis 1:4
Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And God saw the light, that it was good: and God divided the light from the darkness.
In Context
3Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo.
5Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
Cross References
Genesis 1:10Mungu akaiita nchi kavu “ardhi,” nalo lile kusanyiko la maji akaliita “bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.
Genesis 1:18itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema.
Genesis 1:31Mungu akaona vyote alivyoumba, na tazama, ilikuwa vizuri sana. Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya sita.
Ecclesiastes 11:7Nuru ni tamu, 2 tena inafurahisha macho kuona jua. 1