Genesis 14:10
Basi Bonde la Sidimu lilikuwa limejaa mashimo ya lami, nao wafalme wa Sodoma na wa Gomora walipokimbia, baadhi ya watu walitumbukia huko na wengine wakakimbilia vilimani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 11:3Wakasemezana wao kwa wao, “Njooni, tufyatue matofali na tuyachome vizuri kwa moto.” Walitumia matofali badala ya mawe, na lami kwa ajili ya kushikamanishia hayo matofali.
Genesis 19:30Loti na binti zake wawili waliondoka Soari na kufanya makao yao kule milimani, kwa maana aliogopa kukaa Soari. Yeye na binti zake wawili waliishi katika pango.
Psalms 83:10ambao waliangamia huko Endori 2 na wakawa kama takataka juu ya nchi. 1
Jeremiah 48:44“Yeyote atakayeikimbia hiyo hofu kuu 2 ataanguka ndani ya shimo, 1 yeyote atakayepanda kutoka shimoni, 2 atanaswa katika mtego, 1 kwa sababu nitaletea Moabu 2 mwaka wa adhabu yake,” 4 asema Bwana. 1