Mwanzo 16:12
Atakuwa punda-mwitu katikati ya wanadamu, 2 mkono wake utakuwa dhidi ya kila mtu 2 na mkono wa kila mtu dhidi yake, 1 naye ataishi kwa uhasama 2 na ndugu zake wote.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 21:20Mungu akawa pamoja na huyu kijana alipokuwa akiendelea kukua. Aliishi jangwani na akawa mpiga upinde.
Genesis 27:40Utaishi kwa upanga, 2 nawe utamtumikia ndugu yako, 1 lakini wakati utakapokuwa umejikomboa, 2 utatupa nira yake 2 kutoka shingoni mwako.” 1 Yakobo Anakimbilia Kwa Labani
Job 39:5“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru? 2 Ni nani aliyezifungua kamba zake? 1