Genesis 18:26
Bwana akasema, “Kama nikipata watu hamsini wenye haki katika mji wa Sodoma, nitausamehe huo mji wote kwa ajili yao.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 6:13Hata kama sehemu ya kumi ya watu watabaki katika nchi, 2 itaharibiwa tena. 1 Lakini kama vile mvinje na mwaloni 2 ibakizavyo visiki inapokatwa, 2 ndivyo mbegu takatifu 2 itakavyokuwa kisiki katika nchi.”
Isaiah 19:24Katika siku hiyo Israeli itakuwa ya tatu, pamoja na Misri na Ashuru, nao watakuwa baraka kwa dunia.
Jeremiah 5:1“Pandeni na kushuka katika mitaa ya Yerusalemu, 2 tazameni pande zote na mtafakari, 2 tafuteni katika viwanja vyake. 1 Kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja tu 2 atendaye kwa uaminifu na kutafuta kweli, 2 nitausamehe mji huu. 1
Matthew 24:22Kama siku hizo zisingefupishwa, hakuna hata mtu mmoja ambaye angeokoka. Lakini kwa ajili ya wateule, siku hizo zitafupizwa.