Genesis 18:28
je, kama hesabu ya wenye haki imepungua watano katika hamsini, utauangamiza huo mji wote kwa ajili ya hao watano waliopungua?” Bwana akamwambia, “Kama nikiwakuta huko watu arobaini na watano, sitauangamiza.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 18:26Bwana akasema, “Kama nikipata watu hamsini wenye haki katika mji wa Sodoma, nitausamehe huo mji wote kwa ajili yao.”
Numbers 14:17“Basi sasa nguvu za Bwana na zionekane, sawasawa na vile ulivyosema:
Job 23:3Laiti ningefahamu mahali pa kumwona; 2 laiti ningeweza kwenda mahali akaapo! 1