Mwanzo 19:15
Kunako mapambazuko, malaika wakamhimiza Loti, wakamwambia, “Fanya haraka! Mchukue mke wako na binti zako wawili walioko hapa, la sivyo utaangamizwa wakati mji utakapoadhibiwa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 19:22Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari. + 19:22 Soari maana yake Mdogo.)
Proverbs 6:4Usiruhusu usingizi machoni pako, 2 usiruhusu kope zako zisinzie. 1
2 Corinthians 6:2Kwa maana asema: 1 “Wakati wangu uliokubalika nilikusikia, 2 siku ya wokovu nilikusaidia.” Tazama, wakati uliokubalika ndio huu, siku ya wokovu ndiyo sasa. 1 Taabu Za Paulo
Revelation 18:4Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema: 1 “Tokeni katikati yake, enyi watu wangu, 2 ili msije mkashiriki dhambi zake, 2 ili msije mkapatwa na pigo lake lolote; 1