Genesis 2:4
Haya ndiyo maelezo ya mbingu na dunia wakati zilipoumbwa. Bwana Mungu alipoziumba mbingu na dunia,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 1:1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.
Genesis 1:28Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze tena dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”
Genesis 5:1Hii ni orodha iliyoandikwa ya vizazi vya Adamu. Wakati Mungu alipomuumba Adamu, alimfanya kwa sura ya Mungu.
Genesis 11:10Hivi ndivyo vizazi vya Shemu. Miaka miwili baada ya gharika, Shemu alipokuwa na miaka 100, akamzaa Arfaksadi.
Genesis 25:19Hivi ndivyo vizazi vya Isaki mwana wa Abrahamu. Abrahamu akamzaa Isaki,
Genesis 36:9Hawa ndio wazao wa Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya kilima cha Seiri. 1