Genesis 25:13
Haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, yaliyoorodheshwa kulingana na jinsi walivyozaliwa: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli ni Nebayothi, akafuatia Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 17:20Kwa upande wa Ishmaeli, nimekusikia: hakika nitambariki, nitamfanya awe na uzao mwingi na nitaongeza sana idadi yake. Atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kubwa.
Genesis 36:3pia akaoa Basemathi binti wa Ishmaeli, dada yake Nebayothi.
Psalms 120:5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, 2 kwamba naishi katikati ya hema za Kedari! 1
Isaiah 21:16Hili ndilo Bwana analoniambia: “Katika muda wa mwaka mmoja, kama vile mtumishi aliyefungwa na mkataba angeihesabu, majivuno yote ya Kedari yatafikia mwisho.
Isaiah 60:7Makundi yote ya Kedari yatakusanyika kwako, 2 kondoo dume wa Nebayothi watakutumikia, 1 watakubalika kama sadaka juu ya madhabahu yangu, 2 nami nitalipamba Hekalu langu tukufu. 1
Ezekiel 27:21“ ‘Arabuni na wakuu wote wa Kedari walikuwa wanunuzi wako waliobadilishana bidhaa zako na wana-kondoo, kondoo dume na mbuzi.