The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 21 › Isaiah 21:16

Isaiah 21:16

Hili ndilo Bwana analoniambia: “Katika muda wa mwaka mmoja, kama vile mtumishi aliyefungwa na mkataba angeihesabu, majivuno yote ya Kedari yatafikia mwisho.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thus hath the Lord said unto me, Within a year, according to the years of an hireling, and all the glory of Kedar shall fail:

In Context

15Wanaukimbia upanga, 2 kutoka upanga uliochomolewa alani, 1 kutoka upinde uliopindwa, 2 na kutoka kwenye joto la vita.

17Wanaume wavutao pinde walionusurika, mashujaa wa Kedari, watakuwa wachache.” Bwana, Mungu wa Israeli, amesema.

Read all of Isaiah 21

Cross References

Genesis 25:13Haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, yaliyoorodheshwa kulingana na jinsi walivyozaliwa: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli ni Nebayothi, akafuatia Kedari, Adbeeli, Mibsamu,

Job 7:1“Je, mwanadamu hana kazi ngumu duniani? 2 Siku zake si kama zile za mtu aliyeajiriwa? 1

Song of Solomon 1:5Mimi ni mweusi, lakini napendeza, 2 enyi binti za Yerusalemu, 2 mweusi kama mahema ya Kedari, 2 kama mapazia ya hema la Solomoni. 1

Isaiah 42:11Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao; 2 makao anamoishi Kedari na yashangilie. 1 Watu wa Sela waimbe kwa furaha, 2 na wapige kelele kutoka vilele vya milima. 1

Jeremiah 49:28Kuhusu Kedari na falme za Hazori, ambazo Nebukadneza mfalme wa Babeli alizishambulia: Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Inuka, ushambulie Kedari 2 na kuwaangamiza watu wa mashariki. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 21:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 21:15Isaiah 21Isaiah 21:17 →