Mwanzo 29:34
Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Sasa afadhali mume wangu ataambatana na mimi, kwa sababu nimemzalia wana watatu.” Kwa hiyo akamwita Lawi. + 29:34 Lawi maana yake Nimeunganishwa, yaani na mume wangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 30:20Ndipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni. + 30:20 Zabuloni maana yake Heshima.
Genesis 35:23Wana wa Lea walikuwa: 2 Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, 2 Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni. 1
Genesis 49:5“Simeoni na Lawi ni wana ndugu: 2 panga zao ni silaha za jeuri. 1
Exodus 32:26Kwa hiyo Mose akasimama kwenye ingilio la kambi, akasema, “Yeyote aliye upande wa Bwana, aje upande wangu.” Walawi wote wakamjia.
Deuteronomy 33:8Kuhusu Lawi alisema: 1 “Thumimu yako na Urimu + 33:8 Thumimu na Urimu maana yake Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha. yako ulimpa, 2 mtu yule uliyemfadhili. 1 Ulimjaribu huko Masa 2 na kushindana naye 2 kwenye maji ya Meriba. 1