The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 5 › Genesis 5:29

Genesis 5:29

Akamwita jina lake Noa, akasema, “Yeye ndiye atakayetufariji katika kazi na maumivu makali ya mikono yetu yaliyosababishwa na ardhi iliyolaaniwa na Bwana.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he called his name Noah, saying, This same shall comfort us concerning our work and toil of our hands, because of the ground which the LORD hath cursed.

In Context

28Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana.

30Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Read all of Genesis 5

Cross References

Genesis 4:11Sasa umelaaniwa na umehamishwa kutoka ardhi, ambayo imefungua kinywa chake na kupokea damu ya ndugu yako kutoka mkononi mwako.

Genesis 7:23Kila kitu chenye uhai juu ya uso wa nchi kilifutiliwa mbali, watu, wanyama, viumbe vitambaavyo na ndege warukao angani wakafutiliwa mbali toka duniani. Waliobaki ni Noa peke yake na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina.

Isaiah 54:9“Kwangu mimi jambo hili ni kama siku za Noa, 2 nilipoapa kuwa maji ya Noa kamwe hayatafunika tena dunia. 1 Hivyo sasa nimeapa sitawakasirikia ninyi, 2 kamwe sitawakemea tena. 1

Ezekiel 14:20hakika kama niishivyo, asema Bwana Mwenyezi, hata kama Noa, Danieli na Ayubu wangekuwa humo ndani yake, wasingeweza kumwokoa mwana wala binti. Wao wangeweza kujiokoa wenyewe tu kwa uadilifu wao.

Luke 3:36Sala alikuwa mwana wa Kenani, 1 Kenani alikuwa mwana wa Arfaksadi, 1 Arfaksadi alikuwa mwana wa Shemu, 1 Shemu alikuwa mwana wa Noa, 1 Noa alikuwa mwana wa Lameki, 1

Hebrews 11:7Kwa imani, Noa alipoonywa na Mungu kuhusu mambo ambayo hayajaonekana bado, kwa kumcha Mungu alitengeneza safina ili kuokoa jamaa yake. Kwa imani yake aliuhukumu ulimwengu na akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani. 1 Imani Ya Abrahamu

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 5:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 5:28Genesis 5Genesis 5:30 →