Mhubiri 1:2
“Ubatili mtupu! Ubatili mtupu!” 2 Mhubiri anasema. 1 “Ubatili mtupu! 2 Kila kitu ni ubatili.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Vanity of vanities, saith the Preacher, vanity of vanities; all is vanity.
In Context
1Maneno ya Mhubiri, mwana wa Daudi, mfalme huko Yerusalemu: 1
3Mwanadamu anafaidi nini kutokana na kazi yake yote 2 anayotaabikia chini ya jua? 1
Cross References
Psalms 39:5Umefanya maisha yangu mafupi kama pumzi; 2 muda wangu wa kuishi ni kama 2 hauna thamani kwako. 1 Maisha ya kila mwanadamu 2 ni kama pumzi. 1
Psalms 144:4Mwanadamu ni kama pumzi, 2 siku zake ni kama kivuli kinachopita. 1
Ecclesiastes 2:11Hata hivyo nilipokuja kuangalia yote ambayo 2 mikono yangu ilikuwa imefanya 2 na yale niliyotaabika kukamilisha, 1 kila kitu kilikuwa ni ubatili, ni kukimbiza upepo; 2 hapakuwa na faida yoyote chini ya jua. 1 Hekima Na Upumbavu Ni Ubatili 1
Ecclesiastes 2:17Kwa hiyo nikachukia maisha, kwa sababu kazi inayofanyika chini ya jua ilikuwa masikitiko kwangu. Yote hayo ni ubatili, ni kukimbiza upepo.
Ecclesiastes 2:21Kwa kuwa mtu anaweza kufanya kazi yake kwa hekima, maarifa na ustadi, kisha analazimika kuacha vyote alivyo navyo kwa mtu mwingine ambaye hajavifanyia kazi. Hili nalo pia ni ubatili tena ni balaa kubwa.
Ecclesiastes 2:26Kwa yule mtu anayempendeza Mungu, Mungu humpa hekima, maarifa na furaha, bali kwa mwenye dhambi Mungu humpa kazi ya kukusanya na kuhifadhi utajiri ili Mungu ampe yule anayempenda. Hili nalo pia ni ubatili, ni kukimbiza upepo.