Genesis 30:18
Ndipo Lea akasema, “Mungu amenizawadia kwa kumpa mume wangu mtumishi wangu wa kike.” Kwa hiyo akamwita Isakari. + 30:18 Isakari maana yake Zawadi, yaani Mungu amenizawadia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Mungu akamsikiliza Lea, naye akapata mimba akamzalia Yakobo mwana wa tano.
19Lea akapata mimba tena akamzalia Yakobo mwana wa sita.
Cross References
Genesis 46:13Wana wa Isakari ni: 2 Tola, Puva, Yashubu na Shimroni. 1
Deuteronomy 33:18Kuhusu Zabuloni akasema: 1 “Shangilia, Zabuloni, wakati wa kutoka nje, 2 nawe Isakari, katika mahema yako. 1
Revelation 7:7kutoka kabila la Simeoni 12,000, 1 kutoka kabila la Lawi 12,000, 1 kutoka kabila la Isakari 12,000, 1