bible.software › Genesis › Genesis 30 › Genesis 30:19
Genesis 30:19
Lea akapata mimba tena akamzalia Yakobo mwana wa sita.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Leah conceived again, and bare Jacob the sixth son.
In Context
18Ndipo Lea akasema, “Mungu amenizawadia kwa kumpa mume wangu mtumishi wangu wa kike.” Kwa hiyo akamwita Isakari. + 30:18 Isakari maana yake Zawadi, yaani Mungu amenizawadia.
20Ndipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni. + 30:20 Zabuloni maana yake Heshima.
Read all of Genesis 30
Cross References
Genesis 46:14Wana wa Zabuloni ni: 2 Seredi, Eloni na Yaleeli.
Ezekiel 48:26“Zabuloni atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Isakari kuanzia mashariki hadi magharibi.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 30:19