Genesis 46:14
Wana wa Zabuloni ni: 2 Seredi, Eloni na Yaleeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Zebulun; Sered, and Elon, and Jahleel.
In Context
13Wana wa Isakari ni: 2 Tola, Puva, Yashubu na Shimroni. 1
Cross References
Genesis 30:19Lea akapata mimba tena akamzalia Yakobo mwana wa sita.
Numbers 1:9kutoka Zabuloni, ni Eliabu mwana wa Heloni; 1
Numbers 26:26Wazao wa Zabuloni kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Seredi, ukoo wa Waseredi; 1 kutoka kwa Eloni, ukoo wa Waeloni; 1 kutoka kwa Yaleeli, ukoo wa Wayaleeli.
1 Chronicles 2:1Hawa ndio waliokuwa wana wa Israeli: 2 Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zabuloni,