The Bible Software
bible.softwareMwanzoMwanzo 35 › Mwanzo 35:26

Mwanzo 35:26

Wana waliozaliwa na Zilpa mtumishi wa kike wa Lea walikuwa: 2 Gadi na Asheri. Hawa walikuwa wana wa Yakobo, waliozaliwa kwake akiwa Padan-Aramu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the sons of Zilpah, Leah’s handmaid; Gad, and Asher: these are the sons of Jacob, which were born to him in Padan-aram.

In Context

25Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa: 2 Dani na Naftali. 1

27Yakobo akarudi nyumbani kwa baba yake Isaki huko Mamre, karibu na Kiriath-Arba (yaani Hebroni), ambapo walikuwa wameishi Abrahamu na Isaki.

Read all of Mwanzo 35

Cross References

Genesis 28:2Nenda mara moja mpaka Padan-Aramu, kwenye nyumba ya Bethueli baba wa mama yako. Uchukue mke kati ya binti za Labani ambaye ni ndugu wa mama yako.

Genesis 30:9Lea alipoona kuwa amekoma kuzaa watoto, alimchukua mtumishi wake wa kike Zilpa, naye akampa Yakobo awe mke wake.

Genesis 31:18naye akawaswaga wanyama wote mbele yake pamoja na vitu vyote alivyokuwa amechuma huko Padan-Aramu kwenda kwa baba yake Isaki katika nchi ya Kanaani.

Genesis 46:16Wana wa Gadi ni: 2 Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. 1

Joshua 19:24Kura ya tano ikaangukia kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mwanzo 35:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mwanzo 35:25Mwanzo 35Mwanzo 35:27 →