Genesis 36:1
Hivi ndivyo vizazi vya Esau (yaani Edomu).
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now these are the generations of Esau, who is Edom.
In Context
Cross References
Genesis 25:24Wakati wake wa kujifungua ulipotimia, walikuwepo mapacha wa kiume tumboni mwake.
Genesis 27:35Lakini akasema, “Ndugu yako amekuja kwa udanganyifu na akachukua baraka yako.”
Numbers 20:14Mose akawatuma wajumbe kutoka Kadeshi kwenda kwa mfalme wa Edomu, akisema: “Hili ndilo ndugu yako Israeli asemalo: Wewe unafahamu juu ya taabu zote ambazo zimetupata.
1 Samuel 14:47Baada ya Sauli kujitwalia utawala katika Israeli, alipigana dhidi ya adui zake kila upande: Moabu, Waamoni, Edomu, wafalme wa Soba, na Wafilisti. Popote alipogeukia, aliwashinda.
Isaiah 63:1Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, 2 kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? 1 Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, 2 anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? 1 “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, 2 mwenye nguvu wa kuokoa.” 1