Genesis 36:12
Elifazi mwana wa Esau alikuwa pia na suria aliyeitwa Timna, ambaye alimzalia Amaleki. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Ada mke wa Esau. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Wana wa Elifazi ni: 2 Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi. 2
Cross References
Genesis 36:22Wana wa Lotani walikuwa: 2 Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani. 1
Numbers 24:18Edomu itamilikiwa, 2 Seiri, adui wake, itamilikiwa, 2 lakini Israeli atakuwa na nguvu. 1
Deuteronomy 25:17Kumbuka kile Waamaleki walichowatendea mlipokuwa njiani mkitoka Misri.
1 Chronicles 1:36Wana wa Elifazi walikuwa: 2 Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; 2 Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki. 1