Mwanzo 37:11
Ndugu zake wakamwonea wivu, lakini baba yake akaliweka jambo hilo moyoni. 1 Yosefu Auzwa Na Ndugu Zake
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And his brethren envied him; but his father observed the saying.
In Context
12Basi, ndugu zake walikuwa wamekwenda kuchunga makundi ya baba yao karibu na Shekemu,
Cross References
Genesis 26:14Akawa na mifugo ya kondoo na ngʼombe, na watumishi wengi sana, kiasi kwamba Wafilisti wakamwonea wivu.
1 Samuel 18:8Sauli akakasirika sana; sehemu hii ya kurudia rudia ya wimbo huu ilimkasirisha sana. Akafikiri kuwa, “Wamempa Daudi makumi elfu, lakini mimi wamenipa elfu tu. Apate nini zaidi isipokuwa ufalme?”
Ecclesiastes 4:4Tena nikaona kuwa kazi zote na mafanikio yote huchipuka kutokana na wivu wa mtu kwa jirani yake. Hili nalo ni ubatili, ni kukimbiza upepo. 1
Isaiah 26:11Ee Bwana, mkono wako umeinuliwa juu, 2 lakini hawauoni. 1 Wao na waone wivu wako kwa ajili ya watu wako tena waaibishwe, 2 moto uliowekwa akiba kwa ajili ya adui zako na uwateketeze. 1
Matthew 27:18Kwa kuwa alitambua Yesu alikuwa amekabidhiwa kwake kwa ajili ya wivu.
Luke 2:19Lakini Maria akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari.