Genesis 38:2
Huko Yuda akakutana na binti wa Kikanaani aitwaye Shua, akamwoa na akakutana naye kimwili,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Wakati ule, Yuda akawaacha ndugu zake, akaenda kuishi na Hira Mwadulami.
3akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri.
Cross References
Genesis 3:6Mwanamke alipoona ya kuwa tunda la mti huo lilikuwa zuri kwa chakula na la kupendeza macho, tena linatamanika kwa kujipatia hekima, basi akachuma katika matunda yake, akala, pia akampa mumewe, aliyekuwa pamoja naye, naye akala.
Genesis 6:4Wanefili walikuwako duniani siku hizo, na baadaye, hao wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu na kuzaa nao. Wanefili walikuwa mashujaa na watu waliojulikana wa zamani hizo.
Genesis 28:1Basi Isaki akamwita Yakobo, akambariki na akamwamuru, akisema, “Usioe mwanamke wa Kikanaani.
Genesis 46:12Wana wa Yuda ni: 2 Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). 2 Wana wa Peresi ni: 3 Hesroni na Hamuli. 1
Judges 16:1Siku moja Samsoni alienda Gaza, akamwona mwanamke kahaba, naye akaingia kwake.
1 Chronicles 2:3Wana wa Yuda walikuwa: 2 Eri, Onani na Shela. Hawa watatu walizaliwa kwake na mkewe Mkanaani, binti wa Shua. Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Bwana, kwa hiyo Bwana alimuua.