Genesis 39:12
Mke wa Potifa akashika vazi Yosefu alilokuwa amevaa, akamwambia, “Njoo tukutane kimwili!” Lakini Yosefu akaacha vazi lake mkononi mwa huyo mwanamke, akatoka nje ya nyumba akikimbia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Yule mwanamke alipoona kwamba Yosefu amemwachia vazi lake mkononi na kukimbilia nje ya nyumba,
Cross References
Genesis 39:10Ingawa yule mwanamke aliendelea kumshawishi Yosefu siku baada ya siku, Yosefu alikataa kukutana naye kimwili wala kukaa karibu naye.
2 Samuel 13:11Lakini alipompelekea ili ale, akamkamata kwa nguvu na kumwambia, “Njoo ulale nami, dada yangu.”
Proverbs 5:8Njia zenu ziwe mbali naye, 2 msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 1
Proverbs 7:13Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu, 2 na kwa uso usio na haya akamwambia: 1
Ezekiel 16:30“ ‘Tazama jinsi ulivyo na dhamiri dhaifu, asema Bwana Mwenyezi, unapofanya mambo haya yote, ukifanya kama kahaba asiyekuwa na aibu!
1 Corinthians 15:33Msidanganyike: “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.”