Proverbs 7:13
Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu, 2 na kwa uso usio na haya akamwambia: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So she caught him, and kissed him, and with an impudent face said unto him,
In Context
12mara kwenye barabara za mji, 2 mara kwenye viwanja vikubwa, 2 kwenye kila pembe huvizia.) 1
14“Nina sadaka za amani nyumbani; 2 leo nimetimiza nadhiri zangu. 1
Cross References
Genesis 39:12Mke wa Potifa akashika vazi Yosefu alilokuwa amevaa, akamwambia, “Njoo tukutane kimwili!” Lakini Yosefu akaacha vazi lake mkononi mwa huyo mwanamke, akatoka nje ya nyumba akikimbia.
Numbers 25:6Ndipo mwanaume wa Kiisraeli akamleta mwanamke wa Kimidiani katika jamaa yake palepale mbele ya Mose na mkutano wote wa Israeli walipokuwa wakilia kwenye lango la Hema la Kukutania.
Proverbs 9:15akiita wale wapitao karibu, 2 waendao moja kwa moja kwenye njia yao. 1
Isaiah 50:7Kwa sababu Bwana Mwenyezi ananisaidia, 2 sitatahayarika. 1 Kwa hiyo nimekaza uso wangu kama jiwe la gumegume, 2 nami ninajua sitaaibika. 1
Ezekiel 2:6Nawe mwanadamu, usiwaogope wao wala maneno yao, usiogope, ingawa michongoma na miiba vinakuzunguka na unaishi katikati ya nge. Usiogope yale wasemayo wala usitishwe nao, ingawa wao ni nyumba ya uasi.
Ezekiel 16:33Kila kahaba hupokea malipo, lakini wewe hutoa zawadi kwa wapenzi wako wote, ukiwahonga ili waje kwako kutoka kila mahali kwa ajili ya ukahaba wako.