Waamuzi 9:7
Yothamu alipoambiwa hayo, akapanda juu ya kilele cha mlima Gerizimu, akawapazia sauti yake akawaambia, “Nisikilizeni enyi watu wa Shekemu, ili Mungu naye apate kuwasikiliza ninyi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Siku moja miti ilitoka ili kwenda kujitawazia mfalme. Ikauambia mzeituni, ‘Wewe uwe mfalme wetu.’
Cross References
Genesis 37:6Akawaambia, “Sikilizeni ndoto niliyoota:
Deuteronomy 27:12Mtakapovuka Mto Yordani, makabila haya yatasimama juu ya Mlima Gerizimu kubariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yosefu na Benyamini.
Psalms 18:40Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, 2 nami nikawaangamiza adui zangu. 1
Proverbs 1:28“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; 2 watanitafuta lakini hawatanipata. 1
Proverbs 28:9Kama mtu yeyote akikataa kusikia sheria, 2 hata maombi yake ni chukizo. 1
Isaiah 58:6“Je, hii si ndiyo aina ya mfungo niliyoichagua: 2 kufungua minyororo ya udhalimu, 2 na kufungua kamba za nira, 1 kuwaweka huru walioonewa, 2 na kuvunja kila nira? 1