Mwanzo 41:26
Ngʼombe saba wazuri ni miaka saba, nayo masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka ni miaka saba, ni ndoto iyo hiyo moja.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The seven good kine are seven years; and the seven good ears are seven years: the dream is one.
In Context
Cross References
Genesis 40:12Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.
Genesis 41:2wakati ngʼombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye matete.
Genesis 41:29Miaka saba ya neema inakuja katika nchi yote ya Misri,
Genesis 41:53Ile miaka saba ya neema huko Misri ikaisha,
Exodus 26:6Kisha tengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili vitumike kufunga na kuunganisha mapazia pamoja kufanya Hema liwe kitu kimoja.
1 Corinthians 10:4na wote wakanywa kile kile kinywaji cha roho, kwa maana walikunywa kutoka ule mwamba wa roho uliofuatana nao, nao ule mwamba ulikuwa Kristo.