The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 45 › Genesis 45:18

Genesis 45:18

mkamlete baba yenu na jamaa zenu kwangu. Nitawapa sehemu nzuri sana ya nchi ya Misri nanyi mtafurahia unono wa nchi.’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And take your father and your households, and come unto me: and I will give you the good of the land of Egypt, and ye shall eat the fat of the land.

In Context

17Farao akamwambia Yosefu, “Waambie ndugu zako, ‘Fanyeni hivi: Pakieni wanyama wenu mrudi mpaka nchi ya Kanaani,

19“Mnaagizwa pia kuwaambia, ‘Fanyeni hivi: Chukueni magari ya kukokotwa kutoka Misri, kwa ajili ya watoto wenu na wake zenu, mkamchukue baba yenu mje.

Read all of Genesis 45

Cross References

Genesis 27:28Mungu na akupe umande kutoka mbinguni 2 na utajiri wa duniani: 2 wingi wa nafaka na divai mpya. 1

Numbers 18:12“Ninawapa mafuta ya zeituni yaliyo bora kuliko yote, na divai mpya iliyo bora kuliko zote na nafaka wanazompa Bwana kama malimbuko katika mavuno yao.

Deuteronomy 32:14kwa jibini na maziwa kutoka makundi ya ngʼombe 2 na kutoka makundi ya mbuzi, 2 kwa mafuta ya wana-kondoo na mbuzi, 1 kwa kondoo dume wazuri wa Bashani, 2 na kwa ngano nzuri. 1 Ukanywa damu ya zabibu inayotoa povu. 1

Psalms 147:14Huwapa amani mipakani mwenu 2 na kukushibisha kwa ngano safi kabisa. 1

Isaiah 28:4Lile ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 2 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba, 1 litakuwa kama tini iliyoiva kabla ya mavuno: 2 mara mtu aionapo, huichuma na kuila. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 45:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 45:17Genesis 45Genesis 45:19 →