Mwanzo 46:15
Hawa ndio wana wa Lea aliomzalia Yakobo huko Padan-Aramu pamoja na binti yake Dina. Jumla ya wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Wana wa Zabuloni ni: 2 Seredi, Eloni na Yaleeli.
16Wana wa Gadi ni: 2 Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. 1
Cross References
Genesis 29:16Labani alikuwa na binti wawili, binti mkubwa aliitwa Lea na binti mdogo aliitwa Raheli.
Genesis 30:17Mungu akamsikiliza Lea, naye akapata mimba akamzalia Yakobo mwana wa tano.
Genesis 34:1Basi Dina, binti wa Yakobo aliyezaliwa na Lea, akatoka nje kuwatembelea wanawake wa nchi ile.
Genesis 49:3“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, 2 nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu, 2 umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo. 1
Numbers 1:1Bwana alisema na Mose katika Jangwa la Sinai, katika Hema la Kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya Waisraeli kutoka nchi ya Misri. Akamwambia,
Numbers 26:1Baada ya hiyo tauni, Bwana akamwambia Mose na Eleazari mwana wa kuhani Aroni,