Genesis 46:18
Hawa ndio watoto Zilpa aliomzalia Yakobo, ambao Labani alimpa binti yake Lea; jumla yao walikuwa kumi na sita. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni: 2 Yosefu na Benyamini.
Cross References
Genesis 29:24Naye Labani akamtoa Zilpa, mtumishi wake wa kike, kuwa mtumishi wa Lea, binti yake.
Genesis 35:26Wana waliozaliwa na Zilpa mtumishi wa kike wa Lea walikuwa: 2 Gadi na Asheri. Hawa walikuwa wana wa Yakobo, waliozaliwa kwake akiwa Padan-Aramu.