Genesis 46:17
Wana wa Asheri ni: 2 Imna, Ishva, Ishvi na Beria. 2 Dada yao alikuwa Sera. 2 Wana wa Beria ni: 2 Heberi na Malkieli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Wana wa Gadi ni: 2 Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. 1
Cross References
Genesis 35:26Wana waliozaliwa na Zilpa mtumishi wa kike wa Lea walikuwa: 2 Gadi na Asheri. Hawa walikuwa wana wa Yakobo, waliozaliwa kwake akiwa Padan-Aramu.
Numbers 1:13kutoka Asheri, ni Pagieli mwana wa Okrani; 1
Numbers 26:44Wazao wa Asheri kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Imna, ukoo wa Waimna; 1 kutoka kwa Ishvi, ukoo wa Waishvi; 1 kutoka kwa Beria, ukoo wa Waberia; 1
Deuteronomy 33:24Kuhusu Asheri akasema: 1 “Aliyebarikiwa zaidi sana katika wana ni Asheri; 2 yeye na apate upendeleo kwa ndugu zake, 2 yeye na anawe miguu yake kwenye mafuta. 1
1 Chronicles 7:30Wana wa Asheri walikuwa: 2 Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. 1