The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 46 › Genesis 46:19

Genesis 46:19

Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni: 2 Yosefu na Benyamini.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The sons of Rachel Jacob’s wife; Joseph, and Benjamin.

In Context

18Hawa ndio watoto Zilpa aliomzalia Yakobo, ambao Labani alimpa binti yake Lea; jumla yao walikuwa kumi na sita. 1

20Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni, + 46:20 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua). alimzalia Yosefu wana wawili, Manase na Efraimu. 1

Read all of Genesis 46

Cross References

Genesis 29:18Yakobo akampenda Raheli, akamwambia Labani, “Nitakutumikia kwa miaka saba kwa ajili ya kumpata Raheli binti yako mdogo.”

Genesis 35:16Kisha wakaondoka Betheli. Walipokuwa umbali fulani kabla ya kufika Efrathi, Raheli akaanza kusikia uchungu na alipata shida kuu.

Genesis 37:1Yakobo akaishi Kanaani katika nchi ambayo baba yake alikuwa ameishi.

Genesis 44:27“Mtumwa wako baba yangu alituambia, ‘Mnajua mke wangu alinizalia wana wawili.

Genesis 49:22“Yosefu ni mzabibu uzaao, 2 mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, 2 ambao matawi yake hutanda ukutani. 1

Exodus 1:3Isakari, Zabuloni na Benyamini;

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 46:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 46:18Genesis 46Genesis 46:20 →