Mwanzo 46:20
Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni, + 46:20 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua). alimzalia Yosefu wana wawili, Manase na Efraimu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni: 2 Yosefu na Benyamini.
21Wana wa Benyamini ni: 2 Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu na Ardi.
Cross References
Genesis 41:45Farao akamwita Yosefu Safenath-Panea, pia akampa Asenathi binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni, + 41:45 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua). kuwa mke wake. Ndipo Yosefu akaitembelea nchi yote ya Misri.
Genesis 48:1Baada ya muda Yosefu akaambiwa kwamba, “Baba yako ni mgonjwa.” Kwa hiyo akawachukua wanawe wawili Manase na Efraimu, pamoja naye.
Genesis 48:13Yosefu akachukua wale wana wawili, Efraimu kwenye mkono wake wa kuume akimwelekeza kwenye mkono wa kushoto wa Israeli, na Manase katika mkono wake wa kushoto akimwelekeza kwenye mkono wa kuume wa Israeli, akawaleta karibu na babu yao.
Numbers 1:32Kutoka wana wa Yosefu: 1 Kutoka wazao wa Efraimu: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Deuteronomy 33:13Kuhusu Yosefu akasema: 1 “ Bwana na aibariki nchi yake 2 kwa umande wa thamani 2 kutoka mbinguni juu, 1 na vilindi vya maji 2 vilivyotulia chini; 1
1 Chronicles 7:14Wana wa Manase walikuwa: 2 Asirieli alikuwa mzao wake kutokana na suria wake wa Kiaramu. Huyu suria akamzaa Makiri baba wa Gileadi.