Waamuzi 3:11
Hivyo nchi ikawa na amani kwa muda wa miaka arobaini, mpaka Othnieli mwana wa Kenazi alipofariki. 1 Ehudi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the land had rest forty years. And Othniel the son of Kenaz died.
In Context
Cross References
Joshua 11:23Hivyo Yoshua akaiteka nchi hiyo yote kama vile Bwana alivyokuwa amemwagiza Mose, naye Yoshua akawapa Israeli kuwa urithi wao, kulingana na walivyogawanyika katika kabila zao. Ndipo nchi ikawa na amani bila vita.
Judges 3:9Waisraeli walipomlilia Bwana, yeye akawainulia mwokozi, Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa Kalebu, ambaye aliwaokoa.
Judges 5:31“Adui zako wote na waangamie, Ee Bwana! 2 Bali wote wakupendao na wawe kama jua 2 lichomozavyo kwa nguvu zake.” Hivyo nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini.
1 Chronicles 4:13Wana wa Kenazi walikuwa: 2 Othnieli na Seraya. 1 Wana wa Othnieli walikuwa: 2 Hathathi na Meonathai.