Genesis 49:4
Usiyezuiwa kama maji, basi hutakuwa mkuu tena, 2 kwa kuwa ulipanda kwenye kitanda cha baba yako, 2 kwenye kitanda changu na kukinajisi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5“Simeoni na Lawi ni wana ndugu: 2 panga zao ni silaha za jeuri. 1
Cross References
Genesis 46:8Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli (Yakobo na wazao wake), waliokwenda Misri: 1 Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo. 1
Deuteronomy 5:21Usitamani mke wa jirani yako. Usitamani nyumba ya jirani yako au shamba lake, mtumishi wake wa kiume au wa kike, ngʼombe au punda wake, wala kitu chochote cha jirani yako.”
Deuteronomy 33:6“Reubeni na aishi, asife, 2 wala watu wake wasiwe wachache.”
1 Corinthians 5:1Yamkini habari imeenea ya kuwa miongoni mwenu kuna uzinzi ambao haujatokea hata miongoni mwa watu wasiomjua Mungu: Kwamba mtu anaishi na mke wa baba yake.
2 Peter 2:14Wakiwa na macho yaliyojaa uzinzi, kamwe hawaachi kutenda dhambi. Huwashawishi wale wasio imara. Wao ni hodari kwa kutamani; ni wana wa laana!