The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 49 › Genesis 49:9

Genesis 49:9

Ee Yuda, wewe ni mwana simba; 2 unarudi toka mawindoni, mwanangu. 1 Kama simba hunyemelea na kulala chini, 2 kama simba jike: nani athubutuye kumwamsha? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Judah is a lion’s whelp: from the prey, my son, thou art gone up: he stooped down, he couched as a lion, and as an old lion; who shall rouse him up?

In Context

8“Yuda, ndugu zako watakusifu; 2 mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako; 2 wana wa baba yako watakusujudia. 1

10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1

Read all of Genesis 49

Cross References

Numbers 23:24Taifa lainuka kama simba jike; 2 linajiinua kama simba 1 ambaye hatulii mpaka amalize kurarua mawindo yake 2 na kunywa damu ya mawindo yake.”

1 Kings 10:20Simba kumi na wawili walisimama kwenye ngazi sita, mmoja katika kila upande wa kila ngazi. Hakuna kitu kama hicho kilichokuwa kimefanyika kwenye ufalme mwingine wowote.

Ezekiel 19:5“ ‘Mama yake alipongoja na kuona tumaini lake halitimiziki, 2 nayo matarajio yake yametoweka, 1 akamchukua mwanawe mwingine 2 na kumfanya simba mwenye nguvu. 1

Hosea 5:14Kwa maana nitakuwa kama simba kwa Efraimu, 2 kama simba mkubwa kwa Yuda. 1 Nitawararua vipande vipande na kuondoka; 2 nitawachukua mbali, 2 na hakuna wa kuwaokoa. 1

1 Corinthians 15:24Ndipo mwisho utafika, wakati atakapomkabidhi Mungu Baba ufalme, akiisha angamiza kila utawala na kila mamlaka na nguvu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 49:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 49:8Genesis 49Genesis 49:10 →