Isaya 54:9
“Kwangu mimi jambo hili ni kama siku za Noa, 2 nilipoapa kuwa maji ya Noa kamwe hayatafunika tena dunia. 1 Hivyo sasa nimeapa sitawakasirikia ninyi, 2 kamwe sitawakemea tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 8:21Bwana akasikia harufu nzuri ya kupendeza, naye akasema moyoni mwake, “Kamwe sitailaani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu, hata ingawa kila mwelekeo wa moyo wake ni mbaya tangu ujana. Kamwe sitaangamiza tena viumbe hai vyote kama nilivyofanya. 1
Job 11:16Hakika utaisahau taabu yako, 2 utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita. 1
Isaiah 12:1Katika siku ile utasema: 1 “Nitakusifu wewe, Ee Bwana. 2 Ingawa ulinikasirikia, 1 hasira yako imegeukia mbali 2 nawe umenifariji. 1
Isaiah 51:8Kwa maana nondo atawala kama vazi, 2 nao funza atawatafuna kama sufu. 1 Lakini haki yangu itadumu milele, 2 wokovu wangu kwa vizazi vyote.” 1
Isaiah 55:11ndivyo lilivyo neno langu lile litokalo kinywani mwangu: 2 Halitanirudia tupu, 1 bali litatimiliza lile nililokusudia 2 na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma. 1
Jeremiah 31:36“Ikiwa amri hizi zitaondoka machoni pangu,” 2 asema Bwana, 1 “ndipo wazao wa Israeli watakoma 2 kuwa taifa mbele yangu daima.”