The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 6 › Genesis 6:8

Genesis 6:8

Lakini Noa akapata kibali machoni pa Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But Noah found grace in the eyes of the LORD.

In Context

7Kwa hiyo Bwana akasema, “Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemuumba kutoka kwenye uso wa dunia, wanadamu na wanyama, pamoja na viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Kwa maana nasikitika kuwaumba.”

9Hivi ndivyo vizazi vya Noa. Noa alikuwa mtu wa haki, na mkamilifu miongoni mwa watu wa wakati wake, tena alitembea na Mungu.

Read all of Genesis 6

Cross References

Genesis 19:19Mtumishi wenu amepata kibali mbele ya macho yenu, nanyi mmeonyesha wema mkubwa kwangu kwa kuokoa maisha yangu. Lakini siwezi kukimbilia milimani, janga hili litanikumba, nami nitakufa.

Psalms 84:11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao, 2 Bwana hutoa wema na heshima; 1 hakuna kitu chema anachowanyima 2 wale ambao hawana hatia. 1

Proverbs 3:4Ndipo utapata kibali na jina zuri 2 mbele za Mungu na mwanadamu. 1

Proverbs 12:2Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Bwana, 2 bali Bwana humhukumu mwenye hila. 1

Luke 1:30Ndipo malaika akamwambia, “Usiogope, Maria, umepata kibali kwa Mungu.

Romans 4:4Basi mtu afanyapo kazi, mshahara wake hauhesabiwi kwake kuwa ni zawadi, bali ni haki yake anayostahili.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 6:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 6:7Genesis 6Genesis 6:9 →