Hagai 1:8
Pandeni milimani mkalete miti na kujenga nyumba, ili nipate kuifurahia, na nitukuzwe,” asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu.
Cross References
Exodus 29:43Huko ndipo nitakapokutana na Waisraeli, nalo Hema la Kukutania litatakaswa na utukufu wangu.
1 Chronicles 22:19Sasa itoeni mioyo yenu na nafsi zenu katika kumtafuta Bwana Mungu wenu. Anzeni kujenga Maskani ya Bwana Mungu, ili mweze kulileta Sanduku la Agano la Bwana na vyombo vitakatifu vya Mungu katika Hekalu litakalojengwa kwa ajili ya Jina la Bwana.”
2 Chronicles 7:16Kwa maana sasa nimechagua na kutakasa Hekalu hili ili kwamba Jina langu lipate kuwa huko milele. Macho yangu na moyo wangu utakuwepo huko daima.
Ezra 6:4kuta zijengwe kwa safu tatu za mawe makubwa kisha ifuate safu moja ya mbao. Gharama zitalipwa kutoka hazina ya mfalme.
Psalms 132:13Kwa maana Bwana ameichagua Sayuni, 2 amepaonea shauku pawe maskani yake: 1
Isaiah 60:13“Utukufu wa Lebanoni utakujilia, 2 msunobari, mvinje pamoja na mteashuri, 1 ili kupapamba mahali pangu patakatifu, 2 nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu. 1