Isaiah 60:13
“Utukufu wa Lebanoni utakujilia, 2 msunobari, mvinje pamoja na mteashuri, 1 ili kupapamba mahali pangu patakatifu, 2 nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Kwa maana taifa au ufalme ule ambao hautakutumikia utaangamia; 2 utaharibiwa kabisa. 1
Cross References
2 Chronicles 2:15“Sasa basi bwana wangu na awapelekee watumishi wake ngano, shayiri, mafuta ya zeituni na mvinyo kama alivyoahidi,
Psalms 96:6Fahari na enzi viko mbele yake; 2 nguvu na utukufu vimo patakatifu pake. 1
Isaiah 35:2litachanua maua, 2 litashangilia sana na kupaza sauti kwa furaha. 1 Litapewa utukufu wa Lebanoni, 2 fahari ya Karmeli na Sharoni; 1 wataona utukufu wa Bwana, 2 fahari ya Mungu wetu. 1
Isaiah 55:13Badala ya kichaka cha miiba 2 itaota miti ya misunobari, 1 na badala ya michongoma 2 utaota mhadasi. + 55:13 Mhadasi ni aina ya mti ambao huota milimani karibu na Yerusalemu, hutoa harufu nzuri itumikayo kutengeneza manukato; kwa Kiebrania ni “hadas”, na ilikuwa inatumika kujenga vibanda wakati wa Sikukuu ya Vibanda (ona pia Neh 8:15 ). 1 Hili litakuwa jambo la kumpatia Bwana jina, 2 kwa ajili ya ishara ya milele, 2 ambayo haitaharibiwa.”
Hosea 14:6matawi yake yatatanda. 1 Fahari yake itakuwa kama mti wa mzeituni, 2 harufu yake nzuri kama mwerezi wa Lebanoni. 1