Waebrania 12:27
Maneno haya “kwa mara moja tena” yanaonyesha kuondoshwa kwa vile vitu vinavyoweza kutetemeshwa, yaani vile vitu vilivyoumbwa, kwa kusudi vile tu visivyoweza kutetemeshwa vibaki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 102:26Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, 2 zote zitachakaa kama vazi. 1 Utazibadilisha kama nguo 2 nazo zitaondoshwa. 1
Matthew 24:35Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 1 Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa (Marko 13:32-37; Luka 17:26-30, 34-36)
2 Peter 3:10Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Ndipo mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; navyo vitu vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia na kila kitu kilichomo ndani yake kitaunguzwa.
Revelation 21:1Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya, kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza vimekwisha kupita, wala hapakuwepo na bahari tena.