Hosea 10:7
Samaria na mfalme wake wataelea 2 kama kijiti juu ya uso wa maji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As for Samaria, her king is cut off as the foam upon the water.
In Context
Cross References
1 Kings 21:1Baada ya hayo, Nabothi, Myezreeli, alikuwa na shamba la mizabibu jirani na jumba la kifalme la Ahabu mfalme wa Samaria.
2 Kings 15:30Kisha Hoshea mwana wa Ela akafanya shauri baya dhidi ya Peka mwana wa Remalia. Akamshambulia na kumuua, kisha akaingia mahali pake kuwa mfalme katika mwaka wa ishirini wa Yothamu mwana wa Uzia.
Hosea 10:3Kisha watasema, “Hatuna mfalme 2 kwa sababu hatukumheshimu Bwana. 1 Lakini hata kama tungelikuwa na mfalme, 2 angeweza kutufanyia nini?” 1
Hosea 13:11Hivyo katika hasira yangu nilikupa mfalme 2 na katika ghadhabu yangu nilimwondoa. 1