The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 12 › Hosea 12:2

Hosea 12:2

Bwana analo shtaka dhidi ya Yuda, 2 atamwadhibu Yakobo kwa kadiri ya njia zake 2 na kumlipa kwa kadiri ya matendo yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD hath also a controversy with Judah, and will punish Jacob according to his ways; according to his doings will he recompense him.

In Context

1Efraimu anajilisha upepo; 2 hufukuzia upepo wa mashariki kutwa nzima 2 na kuzidisha uongo na jeuri. 1 Anafanya mkataba na Ashuru 2 na kutuma mafuta ya zeituni Misri. 1

3Yakobo akiwa tumboni alishika kisigino cha kaka yake; 2 kama mwanadamu, alishindana na Mungu. 1

Read all of Hosea 12

Cross References

2 Kings 17:4Lakini mfalme wa Ashuru akagundua kuwa Hoshea alikuwa msaliti, kwa kuwa alikuwa ametuma wajumbe kwa So mfalme wa Misri, naye hakuendelea kulipa ushuru kwa mfalme wa Ashuru tena kama alivyokuwa anafanya kila mwaka. Kwa hiyo Shalmanesa akamkamata na kumtia gerezani.

Job 15:2“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, 2 au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? 1

Ecclesiastes 5:15Mtu hutoka tumboni mwa mama yake uchi, 2 naye jinsi alivyokuja vivyo hivyo huondoka. 1 Hachukui chochote kutokana na kazi yake 2 ambacho anaweza kukibeba mkononi mwake.

Isaiah 8:7kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao 2 mafuriko makubwa ya Mto: + 8:7 Yaani Frati. 2 yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote. 1 Yatafurika juu ya mifereji yake yote, 2 yatamwagikia juu ya kingo zake zote, 1

Isaiah 10:12Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.”

Isaiah 30:6Neno kuhusu wanyama wa Negebu: 1 Katika nchi ya taabu na shida, 2 ya simba za dume na jike, 2 ya nyoka mwenye sumu kali na nyoka warukao, 1 wajumbe huchukua utajiri wao juu ya migongo ya punda, 2 hazina zao juu ya nundu za ngamia, 1 kwa lile taifa lisilokuwa na faida, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 12:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 12:1Hosea 12Hosea 12:3 →