The Bible Software
bible.softwareZaburiZaburi 92 › Zaburi 92:13

Zaburi 92:13

waliopandwa katika nyumba ya Bwana, 2 watastawi katika nyua za Mungu wetu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Those that be planted in the house of the LORD shall flourish in the courts of our God.

In Context

12Wenye haki watastawi kama mtende, 2 watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, 1

14Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda, 2 watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu, 1

Read all of Zaburi 92

Cross References

2 Chronicles 4:9Akatengeneza ukumbi wa makuhani na ukumbi mwingine mkubwa na milango yake, naye akaifunika hiyo milango kwa shaba.

Psalms 100:4Ingieni malangoni mwake kwa shukrani 2 na katika nyua zake kwa kusifu, 2 mshukuruni yeye na kulisifu jina lake. 1

Psalms 135:2ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya Bwana, 2 katika nyua za nyumba ya Mungu wetu. 1

Song of Solomon 5:15Miguu yake ni nguzo za marmar 2 zilizosimikwa katika vitako vya dhahabu safi. 1 Sura yake ni kama Lebanoni, 2 bora kama miti yake ya mierezi. 1

Isaiah 61:3na kuwapa mahitaji 2 wale wanaohuzunika katika Sayuni, 1 ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, 2 mafuta ya furaha badala ya maombolezo, 2 vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. 1 Nao wataitwa mialoni ya haki, 2 pando la Bwana, 2 ili kuonyesha utukufu wake. 1

Romans 6:5Kwa maana ikiwa tumeungana naye katika mauti yake, bila shaka tutaungana naye katika ufufuo wake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 92:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 92:12Zaburi 92Zaburi 92:14 →