Hosea 14:9
Ni nani mwenye hekima? Atayatambua mambo haya. 2 Ni nani mwenye ufahamu? Huyu atayaelewa. 1 Njia za Bwana ni adili; 2 wenye haki huenda katika njia hizo, 2 lakini waasi watajikwaa ndani yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:4Yeye ni Mwamba, kazi zake ni kamilifu, 2 njia zake zote ni haki. 1 Mungu mwaminifu ambaye hakosei, 2 yeye ni mnyofu na mwenye haki. 1
Job 34:10“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu. 2 Kamwe Mungu hatendi uovu, 2 Mwenyezi hafanyi kosa. 1
Psalms 19:7Sheria ya Bwana ni kamilifu, 2 ikihuisha nafsi. 1 Shuhuda za Bwana ni za kuaminika, 2 zikimpa mjinga hekima. 1
Psalms 84:7Huendelea toka nguvu hadi nguvu, 2 hadi kila mmoja afikapo 2 mbele za Mungu huko Sayuni. 1
Psalms 111:7Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, 2 mausia yake yote ni ya kuaminika. 1
Psalms 119:128na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili, 2 nachukia kila njia potovu. 2 Shauku Ya Kuitii Sheria Ya Bwana 1