Ayubu 34:10
“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu. 2 Kamwe Mungu hatendi uovu, 2 Mwenyezi hafanyi kosa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Kwa kuwa anasema, ‘Haimfaidi mwanadamu kitu chochote 2 anapojitahidi kumpendeza Mungu.’ 1
Cross References
Genesis 18:25Hilo na liwe mbali nawe, kufanya jambo kama hilo, kuwaua wenye haki pamoja na waovu, kuwatendea wenye haki sawasawa na waovu. Iwe mbali nawe! Je, Mwamuzi wa dunia yote hatafanya lililo sawa?”
2 Samuel 22:31“Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu; 2 neno la Bwana halina dosari. 1 Yeye ni ngao kwa wote 2 wanaokimbilia kwake. 1
Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1
Job 34:34“Wanadamu wenye ufahamu husema, 2 wenye hekima wanaonisikia huniambia, 1
Job 37:23Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; 2 katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea. 1
Psalms 145:17Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote, 2 na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya. 1