Hosea 2:3
Kama sivyo nitamvua nguo zake awe uchi 2 na kumwacha uchi kama siku ile aliyozaliwa. 1 Nitamfanya kama jangwa, 2 nitamgeuza awe nchi ya kiu, 2 nami nitamuua kwa kiu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Sitaonyesha upendo wangu kwa watoto wake, 2 kwa sababu ni watoto wa uzinzi. 1
Cross References
Judges 15:18Kwa kuwa alikuwa amesikia kiu sana, akamlilia Bwana akisema, “Umempa mtumishi wako ushindi huu mkuu. Je, sasa nife kwa kiu na kuangukia mikononi mwa hawa watu wasiotahiriwa?”
Isaiah 33:9Ardhi inaomboleza + 33:9 Au: Ardhi inakauka. na kuchakaa, 2 Lebanoni imeaibika na kunyauka, 1 Sharoni ni kama Araba, 2 nayo Bashani na Karmeli 2 wanapukutisha majani yao. 1
Isaiah 64:10Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa; 2 hata Sayuni ni jangwa, Yerusalemu ni ukiwa. 1
Jeremiah 2:31“Enyi wa kizazi hiki, tafakarini neno la Bwana: 1 “Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli 2 au nchi ya giza kuu? 1 Kwa nini watu wangu wanasema, ‘Sisi tuko huru kuzurura, 2 hatutarudi kwako tena’? 1
Jeremiah 12:10Wachungaji wengi wataliharibu shamba langu la mizabibu 2 na kulikanyaga shamba langu; 1 watalifanya shamba langu zuri 2 kuwa jangwa la ukiwa. 1
Jeremiah 13:26Nitayafunua marinda yako mpaka juu ya uso wako 2 ili aibu yako ionekane: 1