The Bible Software
bible.software › Hosea › Hosea 4 › Hosea 4:14

Hosea 4:14

“Sitawaadhibu binti zenu wakati 2 wanapogeukia ukahaba, 1 wala wake za wana wenu 2 wanapofanya uzinzi, 1 kwa sababu wanaume wenyewe huandamana na malaya 2 na kutambikia pamoja na makahaba 2 wa mahali pa kuabudia miungu: 1 watu wasiokuwa na ufahamu 2 wataangamia! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will not punish your daughters when they commit whoredom, nor your spouses when they commit adultery: for themselves are separated with whores, and they sacrifice with harlots: therefore the people that doth not understand shall fall.

In Context

13Wanatoa dhabihu juu ya vilele vya milima 2 na sadaka za kuteketezwa juu ya vilima, 1 chini ya mialoni, milibua na miela, 2 ambako kuna vivuli vizuri. 1 Kwa hiyo binti zenu wamegeukia ukahaba 2 na wake za wana wenu uzinzi. 1

15“Ingawa umefanya uzinzi, ee Israeli, 2 Yuda naye asije akawa na hatia. 1 “Usiende Gilgali, 2 usipande kwenda Beth-Aveni + 4:15 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1 Wala usiape, 2 ‘Hakika kama Bwana aishivyo!’ 1

Read all of Hosea 4

Cross References

Numbers 25:3Kwa hiyo Israeli akaungana katika kumwabudu Baali wa Peori. Hasira ya Bwana ikawaka dhidi yao.

1 Kings 14:23Pia wakajijengea mahali pa juu pa kuabudia miungu, mawe ya kuabudiwa na nguzo za Ashera juu ya kila kilima kilichoinuka na kila mti uliotanda.

2 Kings 23:7Akabomoa pia nyumba za mahanithi wa mahali pa ibada za miungu, zilizokuwa ndani ya Hekalu la Bwana na mahali wanawake walipofuma kwa ajili ya Ashera.

Isaiah 1:5Kwa nini mzidi kupigwa? 2 Kwa nini kudumu katika uasi? 1 Kichwa chako chote kimejeruhiwa, 2 moyo wako wote ni mgonjwa. 1

Isaiah 44:18Hawajui chochote, hawaelewi chochote, 2 macho yao yamefungwa hata hawawezi kuona, 2 akili zao zimefungwa hata hawawezi kufahamu. 1

Daniel 12:10Wengi watatakaswa, na kuondolewa mawaa na kufanywa safi, lakini waovu wataendelea kuwa waovu. Hakuna mmoja wa waovu atakayefahamu, lakini wale wenye hekima watafahamu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 4:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 4:13Hosea 4Hosea 4:15 →