The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 4 › Hosea 4:16

Hosea 4:16

Waisraeli ni wakaidi, 2 kama mtamba wa ngʼombe ambaye ni mkaidi. 1 Ni jinsi gani basi Bwana anaweza kuwachunga 2 kama wana-kondoo 2 katika shamba la majani? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For Israel slideth back as a backsliding heifer: now the LORD will feed them as a lamb in a large place.

In Context

15“Ingawa umefanya uzinzi, ee Israeli, 2 Yuda naye asije akawa na hatia. 1 “Usiende Gilgali, 2 usipande kwenda Beth-Aveni + 4:15 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1 Wala usiape, 2 ‘Hakika kama Bwana aishivyo!’ 1

17Efraimu amejiunga na sanamu, 2 ondokana naye! 1

Read all of Hosea 4

Cross References

Leviticus 26:33Nitawatawanya ninyi miongoni mwa mataifa, na kuufuta upanga wangu na kuwafuatia. Nchi yenu itaharibiwa, nayo miji yenu itakuwa magofu.

Isaiah 5:17Kondoo watajilisha kwenye malisho yao wenyewe, 2 wana-kondoo watajilisha katika magofu ya matajiri. 1

Isaiah 22:18Atakuvingirisha uwe kama mpira 2 na kukutupa katika nchi kubwa. 1 Huko ndiko utakakofia, 2 na huko ndiko magari yako ya vita ya fahari yatabakia, 2 wewe unayeifedhehesha nyumba ya bwana wako! 1

Jeremiah 3:8Nilimpa Israeli asiye mwaminifu hati yake ya talaka, na kumfukuza kwa ajili ya uzinzi wake wote. Hata hivyo nikaona kuwa Yuda dada yake mdanganyifu hakuogopa. Yeye pia alitoka na kufanya uzinzi.

Jeremiah 5:6Kwa hiyo simba kutoka mwituni atawashambulia, 2 mbwa mwitu kutoka jangwani atawaangamiza, 1 chui atawavizia karibu na miji yao, 2 ili kumrarua vipande vipande yeyote atakayethubutu kutoka nje, 1 kwa maana maasi yao ni makubwa, 2 na kukengeuka kwao kumekuwa ni kwingi. 1

Jeremiah 8:5Kwa nini basi watu hawa walipotea? 2 Kwa nini Yerusalemu inapotea kila mara? 1 Wanangʼangʼania udanganyifu 2 na wanakataa kurudi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 4:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 4:15Hosea 4Hosea 4:17 →