The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 4 › Hosea 4:17

Hosea 4:17

Efraimu amejiunga na sanamu, 2 ondokana naye! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ephraim is joined to idols: let him alone.

In Context

16Waisraeli ni wakaidi, 2 kama mtamba wa ngʼombe ambaye ni mkaidi. 1 Ni jinsi gani basi Bwana anaweza kuwachunga 2 kama wana-kondoo 2 katika shamba la majani? 1

18Hata wakati wamemaliza vileo vyao 2 wanaendelea na ukahaba wao, 1 watawala wao hupenda sana 2 njia za aibu. 1

Read all of Hosea 4

Cross References

Hosea 4:4“Lakini mtu awaye yote na asilete shtaka, 2 mtu yeyote na asimlaumu mwenzake, 1 kwa maana watu wako ni kama wale 2 waletao mashtaka dhidi ya kuhani. 1

Hosea 12:1Efraimu anajilisha upepo; 2 hufukuzia upepo wa mashariki kutwa nzima 2 na kuzidisha uongo na jeuri. 1 Anafanya mkataba na Ashuru 2 na kutuma mafuta ya zeituni Misri. 1

Matthew 15:14Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 4:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 4:16Hosea 4Hosea 4:18 →