Hosea 4:4
“Lakini mtu awaye yote na asilete shtaka, 2 mtu yeyote na asimlaumu mwenzake, 1 kwa maana watu wako ni kama wale 2 waletao mashtaka dhidi ya kuhani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yet let no man strive, nor reprove another: for thy people are as they that strive with the priest.
In Context
Cross References
Jeremiah 18:18Wakasema, “Njooni, tutunge hila dhidi ya Yeremia; kwa kuwa kufundisha sheria kwa kuhani hakutapotea, wala shauri litokalo kwa mwenye hekima, wala neno la manabii. Hivyo njooni, tumshambulie kwa ndimi zetu na tusijali chochote asemacho.” 1
Hosea 4:17Efraimu amejiunga na sanamu, 2 ondokana naye! 1
Amos 6:10Kama jamaa ambaye atachoma miili akija ili kuitoa nje ya nyumba, na kumuuliza yeyote ambaye bado anajificha humo, “Je, yuko mtu yeyote pamoja nawe?” Naye akisema, “Hapana,” ndipo atakaposema, “Nyamaza kimya! Haturuhusiwi kutaja jina la Bwana.” 1